BABA BOMBASTIC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 349
- 570
Niletee nipo hapa kwa Mtuturi uchukue hela chap.Habari
Tv Ya solar max double glass,(vioo viwili) inauzwa 170000 na stand yake ya ukutani
INch 32 nina shida ya haraka
Naomba utuwekee picha yake tafadhali maana nami nimeibiwa TV yangu usiku wa kuamkia jana.Habari
Tv Ya solar max double glass,(vioo viwili) inauzwa 170000 na stand yake ya ukutani
INch 32 nina shida ya haraka
Mabibo makutanoupo wapi ndugu
Mabibo makutanoIPO wapi?
Ndo wapiNiletee nipo hapa kwa Mtuturi uchukue hela chap.
Hii toffautiNaomba utuwekee picha yake tafadhali maana nami nimeibiwa TV yangu usiku wa kuamkia jana.
Mwanaume Acha kebehiHivi kuna watu wanatumia T.V aina ya solarmax?
Kuna ambao hawana TV kabisa! Mshukuru mungu kwa alichokubariki kwa maana amekupa wewe akawanyina wao !Hivi kuna watu wanatumia T.V aina ya solarmax?
Kila siku unakuja na hoja za kuwasifu wachina, Leo una wageuka watu wakiwa wanatumia bidhaa za mchina.Hivi kuna watu wanatumia T.V aina ya solarmax?
Sio kwa Solarmax ingekuwa ni Hisense, Haier, TCL, Skyworth and the likes of sawaKila siku unakuja na hoja za kuwasifu wachina, Leo una wageuka watu wakiwa wanatumia bidhaa za mchina.