kijumbamshale JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 267 Reaction score 88 Jan 17, 2014 #1 Waungwana TV yangu samsung LED 40' inawaka lakini kwa muda kama wa dakika 10 halafu inapoteza picha inabakia sauti tu tatizo linaweza kuwa nini?
Waungwana TV yangu samsung LED 40' inawaka lakini kwa muda kama wa dakika 10 halafu inapoteza picha inabakia sauti tu tatizo linaweza kuwa nini?
Kada Senior Member Joined May 3, 2009 Posts 164 Reaction score 28 Jan 18, 2014 #2 kijumbamshale said: Waungwana TV yangu samsung LED 40' inawaka lakini kwa muda kama wa dakika 10 halafu inapoteza picha inabakia sauti tu tatizo linaweza kuwa nini? Click to expand... Nakushauri kama bado warranty haijaisha, irudishe kwa wahusika wakubadilishie au waitengeneze wao wenyewe. Baadhi ya mafundi wetu mtaani sio experts sana wa hivi vitu, unaweza ukampelekea akaifungua but ikimshinda hasara kwako mkuu.
kijumbamshale said: Waungwana TV yangu samsung LED 40' inawaka lakini kwa muda kama wa dakika 10 halafu inapoteza picha inabakia sauti tu tatizo linaweza kuwa nini? Click to expand... Nakushauri kama bado warranty haijaisha, irudishe kwa wahusika wakubadilishie au waitengeneze wao wenyewe. Baadhi ya mafundi wetu mtaani sio experts sana wa hivi vitu, unaweza ukampelekea akaifungua but ikimshinda hasara kwako mkuu.
kijumbamshale JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 267 Reaction score 88 Jan 18, 2014 Thread starter #3 Asante kwa ushauri, warranty imeshaisha ila ntaipeleka kwao ingawa sina uhakika kama wanatoa huduma za services
Asante kwa ushauri, warranty imeshaisha ila ntaipeleka kwao ingawa sina uhakika kama wanatoa huduma za services