gromicko
Member
- Jan 21, 2019
- 18
- 4
TV Flat screen inch 32, aina ya L.G inauzwa Laki3 na 50
DAR
0652962721 whatsap
Sent using Jamii Forums mobile app
DAR
0652962721 whatsap
Sent using Jamii Forums mobile app
Kavaa taulo. Wataalamu wa VAR waje huku.Huyo aliyepiga picha mbona kapinda kiuno. (angalia kwenye kioo cha Tv)
Ni Ke siyo Me huyo.Kavaa taulo. Wataalamu wa VAR waje huku.




sawa mzee mbaba tv kali ila next time ukipiga picha jifiche na kitaulo chako icho kama tazani
Kama una ndugu yako wa karibu hapa mjini unaweza kuniunganisha nae ili iwe rahisi yeye kuiona kabla hujalipia na kutumwalindi utaanitumia?
TV Flat screen inch 32, aina ya L.G inauzwa Laki3 na 50
DAR
0652962721 whatsapView attachment 1003585
Sent using Jamii Forums mobile app