Tuzo kwa walimu

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Habari Wana JF hope wote ni wazima,

Napenda kutoa ushaur wangu kwa Wizara ya Elimu na serikali kwa ujumla. Ni wakati sasa serikali kuanza kutoa tuzo kwa walimu bora.

Taaluma hii ya ualimu kwa muda sasa imeonekana kama si lolote walimu hawana motisha kabisa. Serikali yangu napenda kushauri ianze kutoa tuzo ili kudhamini mchango wa walimu wanafanya kazi kwa bidii hasa katika mazingira magumu.

Tuzo hizo ziwe zinatolewa kikanda na badae washindi wa Kanda wanapigiwa kura kupata mshindi wa kitaifa,
Hii itasaidia kuweka hari na motisha na moyo wa kufanya kazi kwa bidii baina ya walimu.

Ni Mimi MWALIMU DAIMA, moja ya mwanafunzi katika chuo kikuu kimoja apa Tanzania

@ nipo Tayar kuwa katika tume itakayo husika na mchakato wa tuzo hizi.

Karibuni kwa mawazo yenu wakuu
 
Acha utoto bwana mdogo maliza chuo uingie field ndo ujue mahitaji ya mwalimu n nini sio kuleta Mada zisizo kuwa na kichwa, unazani mahitaji ya mwalimu n hizo tunzo ? Maliza chuo kwanza upate ajira uingie uwanja wa mchezo nfo ujue wachezaji wenzako wanahitaji nn
 
Haya fanya MIUJIZA tuone huo UALIMU wako Bora.
 

Attachments

  • IMG_20230206_165232.jpg
    319.2 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…