Tuzidi kuhesabu madeni ya China; Maktaba ya UDSM ni mkopo toka china ndio maana baba amewapamba na wameanza kufundisha kichina yajayo yanafurahisha

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Iko ivi tumechukua mkopp toka china kujenga maktaba pale Udsm na sharti nafuu pamoja na riba kuhakikisha kichina kinafundishwa chuoni hapo.

Ni shs ngapi tumekopeshwa hawasemi ila kujengwa kwa dola mil 48 inamaana ni zaidi ya bil 100 kimbuka zile hostel ziligharimu bil 10 tuuu.

Tusije laumiana badae china ikianza kichukua udsm
 
Wachukue kila kitu maana ninyi ni taifa la.mapumbavu
 
Aliyepokea anasema ni msaada halafu mtu analeta upuuzi jf eti ni mkopo.
Roho inawauma na bado mtazidi kunyooshwa.
 
Asee Hao wachina siwapend wana roho za kimasikini sana Ukitaka usiendelee jenga urafiki na machina

Watu poa Ni wa Japan na wakorea kwa jamii ya Mongolian
 
Iko ivi tumechukua mkopp toka china kujenga maktaba pale Udsm na sharti nafuu pamoja na riba kuhakikisha kichina kinafundishwa chuoni hapo.

Ni shs ngapi tumekopeshwa hawasemi ila kujengwa kwa dola mil 48 inamaana ni zaidi ya bil 100 kimbuka zile hostel ziligharimu bil 10 tuuu.

Tusije laumiana badae china ikianza kichukua udsm
Usitufananishe na Zambia au wakenya watakaoshindwa lipa deni kama tulilipa la ndege yetu ilipokamatwa basi huto tudeni twa mchina ni kitu kidogo kabisa.
 
Mkuu kasema wametoa msaada,wewe inasema tumekopeshwa.wewe ni nani huko serikalini unaejua kila kitu?
Iko ivi tumechukua mkopp toka china kujenga maktaba pale Udsm na sharti nafuu pamoja na riba kuhakikisha kichina kinafundishwa chuoni hapo.

Ni shs ngapi tumekopeshwa hawasemi ila kujengwa kwa dola mil 48 inamaana ni zaidi ya bil 100 kimbuka zile hostel ziligharimu bil 10 tuuu.

Tusije laumiana badae china ikianza kichukua udsm
 
Iko ivi tumechukua mkopp toka china kujenga maktaba pale Udsm na sharti nafuu pamoja na riba kuhakikisha kichina kinafundishwa chuoni hapo.

Ni shs ngapi tumekopeshwa hawasemi ila kujengwa kwa dola mil 48 inamaana ni zaidi ya bil 100 kimbuka zile hostel ziligharimu bil 10 tuuu.

Tusije laumiana badae china ikianza kichukua udsm

Backward thinking!
 
kawadanganye Tanapa wenzako
Ile ni grant sio mkopo,mnatuombea mabaya kila siku yatawarudia webyewe
 
Back
Top Bottom