Ili neno ndugu zangu msijaribu wa kike na wakiume kwenu. Leo nameletewa barua toka mahakamani bila kujua Mombasa wakati mke wangu Tanzania hafahamu kinachoendelea.
Huyu mtoto wa Kimombasa kwa kweli nilikuwa sipendi maharage ila kutokana na ufundi wake wapishi mpaka yeye ni kakubari kupiga mimba ili niweke jiwe la msingi momambasa.
Sasa mimi biashara yangu kuvuka nchi siwezi kulala gesti na unafahamu Watanzania afrika mashariki na afrika tunavopendwa kwa amani wengine tukijifanya ndugu yetu Domo a.k.a baba Tifa wanatukubali sana.
Mtoto kaona kuweka mbegu mix TZ na zkenya maana sisi wajuwaji, wabishi na mafisadi.
Hadi kaka yake na shetani umepigwa tukio, je sisi wa kawaida itakuaje? Hamna budi kulea tu huo ujauzito na mtoto atakayezaliwa, si ulisikia raha eeh matokeo ndiyo hayo, pole Satan's bro😜