Tuwekeeni WIFI mpaka kwenye vyoo, Ila shuleni na vyuoni msiweke!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Uhu nikushauri Tu.

Uwezi fikiria kuweka wifi free kwenye Masoko ya Tanzania alafu ukajidai wewe ni mwelewa kwenye Masoko waliopo masokoni waliwai kwambia wanaitaji free internet?

Unafikiria kuweka WIFI kwenye mwendokasi ni Kwa sababu upandagi mwendokasi ukashikilia mchuma, wewe!Panda alafu shikilia mchuma uone kama utaenjoy free WIFI?

Kwa kuwa chooni ndo pahala pekee nakuwa Peke yangu na pengine na kabulini Kwa kuwa nakuwa Peke yangu nakuomba MH waziri nape utuwekee free internet.

Nauliza Kwa nini viongozi hamfanyi Yale tunataka, tafadhali msiweke free WI-FI shuleni na vyuoni wekeni uko ili mwonekane mwafanya kazi.
 
Basi mkuu, kilio chako kimesikika, umeeleweka hata huko mashuleni na vyuoni wataweka WI FI ili wanafunzi wapate free internet wajifunze mengi
 
Back
Top Bottom