Tuweke U-CCM na U-CHADEMA pembeni kwenye hili la Lema

Kibstec

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,205
2,338
Kwa kurejea kauli ya LISSU jana juu ya kesi ya LEMA...
Hivi ukiwa mwanasheria UPANDE wa upinzani ni wewe tu ndio unakuwa BORA ZAIDI unapokuwa mahakamani???? hapa nina maana ya kwamba kila kesi kwa vyovyote vile lazima MTEJA WAKO ashinde na ASIPOSHINDA ni maagizo toka juu....

KUWA MBUNGE wa upinzani hii inakuondolea kabsa uwezo wa wewe kutotenda MAKOSA ya kiubinaadamu ambayo moja kwa moja hayawezi kukuweka GERREZANI na ikitokea umewekwa GEREZANI ni maagizo toka JUU...

Hivi LISSU ana utimilifu upi ya kila anacho kisema TUONE ni sahihi na kutuaminisha kabsa ya kuwa kila mpinzani mahakamani ni LAZIMA ASHINDE KESI????

Hivi hao mawakili wa serikali NI KIPI KITUAMINISHACHO YA KUWA wao ni VILAZA wanapopambana na LISSU au waakili wa UPINZANI mahakamani....Na ikitokea serikali imeshinda si HAKI ila UPINZANI ni HAKI.......

Afu kama kweli MAHAKAMA kwa sasa zinafanya kazi kwa MAAGIZO toka JUU kwanini BADO mnakimbilia huko MAHAKAMANI???? WHY CAN'T YOU HAVE PLAN B TO DEAL WITH THIS???.....yaani unawatukana hao MAJAJI afu kesho unataka hao uliowatukana WAKUSAIDIE.....yaani huu ni UNAFIKI USIO NA KIFANI wa huyu JAMAA.....

Let's be honest on this......HAPA ANAYEUMIA NI LEMA.....maana CHADEMA as usual wao wanatabia ya kuwafanya wenzao VITOWEO KUPATA HURUMA YA WANANCHI....hapa nina maana ya kwamba LISSU anafahamu kabsa anachokisema si sahihi JUU YA MAHAKAMA sasa wanataka kutumia hii kesi wao kujijenga KISIASA ili hali LEMA anaumia HUKO gerezani....kumbukeni hii sasa inaenda kuwa ni LEAGUE baina ya MAWAKILI wa UPINZANI NA WA SERIKALI.....kuna kamsemo KA KISWAHILI KANASEMA HIVI..."mafahali wawili wapiganapo ziumiazo ni nyasi"....HAPA NYASI NI LEMA......kwenye hili ni BUSARA tu ZINAHITAJIKA kumuokoa LEMA na si SIASA......zama zimebadilika tuache kuishi kwa mazoea MHAHAKIMU/MAJAJI hawaangalii UCCM AU UCHADEMA.......chadema acheni kujinufaisha kwenye hili.........

REJEA JINSI BEN alivyotumiwa na hiki CHAMA kutukana MITANDAONI kwa lengo lile lile la CHADEMA kunufaika......HIVI LEO YUPO WAPI na ni umuhimu upi CHADEMA wameuonyesha kwa huyu KIJANA JUU YA UPOTEVU WAKE.......

Afu kibaya zaidi huyu LISSU nae ni miongoni mwa waropokaji wazuri sana.....SI WA KUMWAMINI KAMWE.....kila mtu anaeza rejea kauli zao na kuzichambua kwa UMAKINI mkubwa utaelewa unafiki WAKE........AFU LISSU ANATAKIWA ASEME KWANINI LEO NDIO KAONA UMUHIMU WA KUMSAIDIA LEMA LEO???????huyu mzee aaache unafiki wake....STILL BADO TUNAKUMBUKA ALIYOYASEMA JUU YA LOWASSA and we are still waiting for him to be away from what he said about BEN SAANANE.......ni suala la MUDA TU.....
 
Nahisi siku za lisu zinahesabika, naona kama anaenda kuishi kolokoloni na kuukosa ubunge.

Hana staha kabisa ktk kuongea.

Na ninaamini hata nyeupe anatamani sana lisu afungwe ili ajiamulie jinsi ya kuiendesha ccm B
 
Nahisi siku za lisu zinahesabika, naona kama anaenda kuishi kolokoloni na kuukosa ubunge.

Hana staha kabisa ktk kuongea.

Na ninaamini hata nyeupe anatamani sana lisu afungwe ili ajiamulie jinsi ya kuiendesha ccm.
Ili ujipongeze Peleka kesi kwa Mkullu ili Lissu afungwe.Maana kwa Jana kasema.ukweli naona hata Chande hatalala usingizi maana nyumba yake.imeanza.kubomolewa
 
Nahisi siku za lisu zinahesabika, naona kama anaenda kuishi kolokoloni na kuukosa ubunge.

Hana staha kabisa ktk kuongea.

Na ninaamini hata nyeupe anatamani sana lisu afungwe ili ajiamulie jinsi ya kuiendesha ccm.
ha haaa haaa naona unasema angalau uuridhishe moyo wako!
 
Kwa kurejea kauli ya LISSU jana juu ya kesi ya LEMA...
Hivi ukiwa mwanasheria UPANDE wa upinzani ni wewe tu ndio unakuwa BORA ZAIDI unapokuwa mahakamani???? hapa nina maana ya kwamba kila kesi kwa vyovyote vile lazima MTEJA WAKO ashinde na ASIPOSHINDA ni maagizo toka juu....

KUWA MBUNGE wa upinzani hii inakuondolea kabsa uwezo wa wewe kutotenda MAKOSA ya kiubinaadamu ambayo moja kwa moja hayawezi kukuweka GERREZANI na ikitokea umewekwa GEREZANI ni maagizo toka JUU...

Hivi LISSU ana utimilifu upi ya kila anacho kisema TUONE ni sahihi na kutuaminisha kabsa ya kuwa kila mpinzani mahakamani ni LAZIMA ASHINDE KESI????

Hivi hao mawakili wa serikali NI KIPI KITUAMINISHACHO YA KUWA wao ni VILAZA wanapopambana na LISSU au waakili wa UPINZANI mahakamani....Na ikitokea serikali imeshinda si HAKI ila UPINZANI ni HAKI.......

Afu kama kweli MAHAKAMA kwa sasa zinafanya kazi kwa MAAGIZO toka JUU kwanini BADO mnakimbilia huko MAHAKAMANI???? WHY CAN'T YOU HAVE PLAN B TO DEAL WITH THIS???.....yaani unawatukana hao MAJAJI afu kesho unataka hao uliowatukana WAKUSAIDIE.....yaani huu ni UNAFIKI USIO NA KIFANI wa huyu JAMAA.....

Let's be honest on this......HAPA ANAYEUMIA NI LEMA.....maana CHADEMA as usual wao wanatabia ya kuwafanya wenzao VITOWEO KUPATA HURUMA YA WANANCHI....hapa nina maana ya kwamba LISSU anafahamu kabsa anachokisema si sahihi JUU YA MAHAKAMA sasa wanataka kutumia hii kesi wao kujijenga KISIASA ili hali LEMA anaumia HUKO gerezani....kumbukeni hii sasa inaenda kuwa ni LEAGUE baina ya MAWAKILI wa UPINZANI NA WA SERIKALI.....kuna kamsemo KA KISWAHILI KANASEMA HIVI..."mafahali wawili wapiganapo ziumiazo ni nyasi"....HAPA NYASI NI LEMA......kwenye hili ni BUSARA tu ZINAHITAJIKA kumuokoa LEMA na si SIASA......zama zimebadilika tuache kuishi kwa mazoea MHAHAKIMU/MAJAJI hawaangalii UCCM AU UCHADEMA.......chadema acheni kujinufaisha kwenye hili.........

REJEA JINSI BEN alivyotumiwa na hiki CHAMA kutukana MITANDAONI kwa lengo lile lile la CHADEMA kunufaika......HIVI LEO YUPO WAPI na ni umuhimu upi CHADEMA wameuonyesha kwa huyu KIJANA JUU YA UPOTEVU WAKE.......

Afu kibaya zaidi huyu LISSU nae ni miongoni mwa waropokaji wazuri sana.....SI WA KUMWAMINI KAMWE.....kila mtu anaeza rejea kauli zao na kuzichambua kwa UMAKINI mkubwa utaelewa unafiki WAKE........
Daima dumu maisha yako.yote as long as wewe ni UVCCM akili yako haitakuvuka U-UVCCM mpaka utakapo kuwa na akili timamu.
 
Unachoshindwa kufahamu ni kuwa:

Mihimili mitatu ya dola hapa Tz haipo huru.....
 
Sasa wewe Mbona hujaweka u CCM kando ?

Very Pathetic
Mkuu kwa upande wangu nathubutu KUSEMA kabsa HATA KAMA ANGEKUWA NI MBUNGE WA CCM kafanya UPUUZI nisingekuja hapa KUTETEA hata KIDOGO....maana hawa ndio wanaoturudisha nyuma NA NDIO MAANA NAKUHAKIKISHIA awamu hii mahakama HAIANGALII HII SURA YA CCM au CHADEMA.....
 
Daima dumu maisha yako.yote as long as wewe ni UVCCM akili yako haitakuvuka U-UVCCM mpaka utakapo kuwa na akili timamu.
UKWEI MCHUNGU SANA....afu kibaya zaidi mimi si UVCCM nina weza ni kawa ni BABU YAKO KABSA...ebu nitoe kwenye kundi la VIJANA....
 
Mi nafikiri tusishabikie mtifuano wa kesi za kisiasa na mahakama,,,wanaoelewa hizi kesi zinaweza kuwa mwanzo wa kusambaratika kwa mhimili wa mahakama..
 
Tatizo umeshatanguliza Siasa na inaonekana dhahiri kwamba wewe ni Shabiki wa ccm! Sasa ulichokileta ni ngumu kujadili!

Ulipaswa kuwa NEUTRAL!
 
Nahisi siku za lisu zinahesabika, naona kama anaenda kuishi kolokoloni na kuukosa ubunge.

Hana staha kabisa ktk kuongea.

Na ninaamini hata nyeupe anatamani sana lisu afungwe ili ajiamulie jinsi ya kuiendesha ccm.

We demu rukia dushelele ya jamaa yako na sio hili jambo. Nyeupe aamue jinsi ya kuiongoza ccm!!? Halafu hilo la kuongea bila staha ongea taratibu maana unaua ndege wawili kwa jiwe moja. Hilo la mahakama kufanya kwa kuridhisha nyuma ya pazia liko wazi. Hizo sheria zinazowaona wabunge wa upinzani tu huoni zina walakini. Kuna mikataba mingi sana mibovu imeingiwa na wabunge wa ccm na wapo lakini hatuoni zikifanya kazi, bali zinafanya kazi kwa mambo mepesi yasiyo na tija. Kinachofanyika ni kosa la mpinzani ni mtaji wa kisiasa kwa ccm kwa kuwa kiongozi wake ndio mwenye nguvu ya kuteua viongozi wa taasisi za kutoa haki hivyo sheria zina macho kwa mwenzetu.
 
Mkuu kwa upande wangu nathubutu KUSEMA kabsa HATA KAMA ANGEKUWA NI MBUNGE WA CCM kafanya UPUUZI nisingekuja hapa KUTETEA hata KIDOGO....maana hawa ndio wanaoturudisha nyuma NA NDIO MAANA NAKUHAKIKISHIA awamu hii mahakama HAIANGALII HII SURA YA CCM au CHADEMA.....
Sasa hebu angalia heading yako na ufananishe na upupu ulioandika
 
Back
Top Bottom