Tuweke pazia Kilimanjaro tumalizane nao wadukuzi

kimbweto

Member
Oct 6, 2012
53
189
Ile sera ya yule babu mtia nia naona tuta apply soon, tutajiwekea ka pazia, wadukuzi wasione kabisa mlima, kisha tutajenga ngazi upande wetu ndege za wazungu zipite nyuma ya pazia ziutizame mlima,wakifika wazungu Arusha tuwaoneshe matanzanite wabebe watakavyo.

Kisha kama kawaida yetu tumlilie Muumba wetu nzige wapishe mbali waruke upande wa pili tulipoiweka pazia watafune mazao yao kama kawaida,kisha walie,kwa elimu zao wakumbushie ngumi za makabila.Ha ha ha ha kuwa Mtanzania raha sana.
 
Ile sera ya yule babu mtia nia naona tuta apply soon,tutajiwekea ka pazia,wadukuzi wasione kabisa mlima,kisha tutajenga ngazi upande wetu ndege za wazungu zipite nyuma ya pazia ziutizame mlima,wakifika wazungu Arusha tuwaoneshe matanzanite wabebe watakavyo...
Kumuelewa mleta uzi yakupasa kutumia akili. Kazungumzia mambo mengi haswa ya kidplomasia baina ya Kenya na Tanzania. Haswa baada ya nchi yetu kuwa moja kati ya nchi ambao raia wake wamekatazwa kuingia Kenya. Tanzania kajibu wapigo kwa kuzuia ndege za KQ kuingia nchini.
 
Back
Top Bottom