T Temmabu Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Aug 14, 2015 #1 Kutokana na msisimko wa siasa uliopo nchini, watu wanatoleana matusi, si busara ukereketwa wetu kwenye siasa ndugu zangu tutoe hoja za msingi na sio kukashifiana.
Kutokana na msisimko wa siasa uliopo nchini, watu wanatoleana matusi, si busara ukereketwa wetu kwenye siasa ndugu zangu tutoe hoja za msingi na sio kukashifiana.