Tuwekane sawa

moyo wenye aman i

Senior Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
177
Reaction score
302
Helloo nawasalimia wote. Twende kwenye mada hivi kupata mwenzio wa kuishi nae kwa hii dunia ili badae tukutane mahari tumepangiwa ni lazima umpate ambae hajadadavuliwa au hata kama amedadavuliwa bora tabia na umakini wake?
 
Chukua kulingana size ya mtwangio ulio nao

Ukijiona we team Mhogo wa jang'0mbe chukua hata bwawa

Ila kama team nyingine tafuta inayobana bana
 
Yaani unazungumzia Bikra na wasio Bikra?
 
Tafuta bikra japo ni nadra kama mkojo wa bata, ila ukimpata oa utakuja kunishukuru
 
Ukitaka kupata kilicho sahihi au safi kwanza wewe uwe mfano unataka kisicho dadavuliwa angali ww ushadadavua watu hiko halitokei ng'oooooo
 
Jiangalie jinc ww ulivo na ndivyo utakaye muoa atakuwa hvy hvy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…