Tuwe wakweli kwa hili Yanga SC ina stahili Pongezi!

Nipo Dar kaka.....

Hapo is where i belong....

bt,that's not an issue,hebu rudi kwenye hoja ya msingi kaka...

Hoja ya msingi ni kuwa Mnyama chupuchupu katika mechi zote 2,suala la kuwa magoli yalirudishwa ndani ya dk ngapi halina mashiko, point ni kuwa they were behind by 2 goals mpk Vijana wetu walipojisahau wakifikiri wameshamaliza kazi ndo Vijana wa Msimbazi wakatumia opportunity hiyo kurudisha magoli, mechi ya Wakubwa nayo mushukuru Wachezaji wenu wa ziada Refa na Linesmen otherwise ingekuwa habari ya tofauti kabisa....yaani generally it was Chupuchupu Mura!
 

Haya basi,

Hongereni kwa soka safi ndugu yangu!!
 
Acha kashfa wewe ni Simba
 
wewe bwana aise una akili kweli kweli manaake ulioandika ni kweli kweli kabisa lakini wewe ni kutoka chama cha siasa au hospitali ya kule dodoma?
 
Watu waliofilisika sera wakishindwa kwa hoja watatafuta uhalali kupitia fani zao. Wewe fani yako ni matusi mpira waachie wenyewe huuwezi, mbona ya mwaka 1977 huyaongelei au wazee wako hawajakusimulia?

Nani katukana hapa? Kumwita mtu kwa jina lake halisi ndiyo tusi? Utindiga wako umekuwa ticked and confirmed!

Next!
 
Ukweli wewe si mshabiki wa YANGA SC, Lakini ahsante kwa upembuzi wako tunakukarisha YOUNG AFRICA SPORTS CLUB- 1933
 

Kwa hiyo tuwambie FIFA waziondoe sheria za mpira wamiguu, maana ziliwakosesha ushindi wa magoli ya offside
 
Ukweli wewe si mshabiki wa YANGA SC, Lakini ahsante kwa upembuzi wako tunakukarisha YOUNG AFRICA SPORTS CLUB- 1933
Mkuu Malipo kwa mungu nimekukubali mfundishe Tisha toto aache utoto, laiti kama angesoma na kuelewa hoja kama wewe asingetukana watu hovyo.
 
Nani katukana hapa? Kumwita mtu kwa jina lake halisi ndiyo tusi? Utindiga wako umekuwa ticked and confirmed!

Next!
Jina langu halisi analijua mama yangu na mke wangu, sasa wewe cheo chako ni kipi kati ya hivyo?
 
wewe bwana aise una akili kweli kweli manaake ulioandika ni kweli kweli kabisa lakini wewe ni kutoka chama cha siasa au hospitali ya kule dodoma?
Rudi kwenye hoja tafadhali, kwani umeona kuna bendera za vyama vya siasa hapa? Kuhusu swali lako la pili fani yangu ni "Doctor (Medicine)" na niliwahi kufanya "Internship" Dodoma, una swali lingine?
 
hawa (kama huyu mleta uzi) ndo wale ambao hata wakipita pale jangwani kwetu wanakojoakojoa ovyo na kuonekana wana yanga ndo tunakojoa ovyo
3
pale jangwani mnakojolewa kwani nyie mnalaliwa au

(mtazamo tuu usijenge chuki)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…