Tuwe wakweli kwa hili Yanga SC ina stahili Pongezi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwe wakweli kwa hili Yanga SC ina stahili Pongezi!

Discussion in 'Sports' started by grafani11, Oct 4, 2012.

 1. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Tokea Yanga wafungwe magoli 2-0 huko Zanzibar kwenye kombe la muungano baadaye tukashuhudia Mnyama huyo huyo akitoa kipigo dhalili cha magoli 5-0 kwa Yanga mapema mwaka huu, nimeiona Yanga ikitulia na kujipanga vizuri hata pamoja na kupokea kipigo cha aibu cha magoli 3-0 kutoka kwa Mtibwa iliendelea kujipanga vizuri na hatimaye jana imemudu kumbana vilivyo Mnyama na kupunguza idadi ya mabao kutoka kipigo cha aibu cha 5-0 mpaka jana terehe 03/10/212 kutoa sare ya 1-1.
  Nawatia moyo wana Yanga wote waendelee kujifua zaidi maana Simba wamezidi dharau angalia kama jana wamewawekea Yanga beki wao Yoso Ngalema aliyekua ukuta wa berlin kwa wachezaji wa Yanga mpaka aibu, halafu ushambuliaji kweli Yanga ni wakupangiwa Yoso Edward Christopher aliyekuwamsumbufu hivi kweli mpaka anasababisha Nadir ashike jezi hii ni haki kweli?

  Yanga tuungane tuwe kitu kimoja turudishe magoli yote 5 hata kwa magoli ya offside kama tulivyokuwa tunataka tufanye jana sema tu yule Linesman alikuwa anatubania.

  Wana Yanga tuendelee kusheherekea sare yetu hii lakini tukijua tunayo kazi kubwa ya kurudisha magoli yote kwani mpaka sasa Simba SC wanaongoza kwa magoli 6-1.
   
 2. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,491
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  umesahau Jonathan Mkude
   
 3. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa.... Ukiwa shabiki wa Yanga na ukakutana na maneno haya, utateseka sana moyoni! Huyu jamaa anajua kukera watu, ni fundi! Hahaaaa
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa Watindiga hawapo Simba tu hata Yanga pia wapo,mi nilimwambia ukiona Mtindiga anajitambulisha kuwa ni Yanga basi ujue huyo ni Mamluki na huu ndo mfano halisi,haya Mwana Yanga "Mtindiga" tumekusoma.
   
 5. W

  Wimana JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Ngoja Balantanda aje, mimi naangalia tu hii game.
  Najua Balantanda is always here.
   
 6. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Naam!!!....grafani11; nimependa approach yako; hakika umewasilisha: Kali zaidi ni Mtu mzima Cannavaro kuvuta Jezi ya kinda Eddo baada ya kuzidiwa mbinu; hilo wana-Yanga Original hawakuliona.
   
 7. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kama kweli wewe ni mwana-Yanga kweli basi utakuwa ni wale wa kutoka bush (watindiga) kama walivyo washabiki wengi wa Simba.

  Wana-Yanga wa ukweli huwa tunaangaliaga bigger picture (mataji ya maana), siyo hivyo viji-statistics vya vijigoli.

  1/Kwenye suala la magoli mengi, Yanga ndio walioanza kumtoboa (mbikiri) Simba mwaka 1965 magoli 5-0
  2/Yanga inaongoza kwa mataji ya ubingwa TZ
  3/Yanga imeishinda Simba mechi nyingi zaidi tangu zilipoanza kukutana
  4/Yanga ni timu pekee ya TZ iliyoweza kubeba kombe la kimataifa nje ya nchi (tena mara 2)
  5/Yanga ndiyo timu ya kwanza kuitoa tongotongo TZ kuingia kwenye last 8 za modern CAF champions league

  Kwenye mafanikio off the pitch nitakupa siku nyingine lakini nako Yanga yuko juu juu juu zaidi ya Simba!

  So, wewe mtindiga sikiza...... hata wafanyeje Simba bado ni watoto wadogo tu kwa baba lao Yanga!
   
 8. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hawa (kama huyu mleta Uzi) ndo wale ambao hata wakipita pale Jangwani kwetu wanakojoakojoa ovyo na kuonekana wana Yanga ndo tunakojoa ovyo
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  anseeeeeeeeeeeeeeeeeee droo yenu ndio imenipa hela endeleeni ivo ivo nasikia eti simba na yanga zikicheza j5 huwa mnyama anakufa au droo ni kweli au uongo..
   
 10. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Na siku Simba inapocheza mvua ikanyesha siku hiyo Simba huwa anashinda bila ubishi wowote lkn pamoja na jana kunyesha lkn Mnyama mkubwa na mtoto chupuchupu katika game zote 2,ile ya Vijana na ile ya Wakubwa,inabidi umshukuru sana Mwamuzi na Mshika kibendera wake kwani wao ndo waliokufanya ushinde ile bet yako,by the way Mkuu kuna swali kila ukiulizwaga huwa unalipotezea watu wengi wamekuwa wakiuliza wewe ni Mshabiki wa team gani haswa?
   
 11. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,746
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Nyie Simba mtatushinda kwa fani ya kutafuna rambirambi zamarehemu tu lkn kwa soka hamna kitu.

  Kama kuna mwanaume kati yenu aniambie ni lini simba imewahi kupanda ndege na kombe kuvuka mpk wa Tanzania?

  Yule mshika kibendera ndio aliwanusuru manake hajui hata oof-side ya kweli au ya uongo yeye akiona jezi ya kijani tu, kainua kibendera.

  Tuliwataka sana kwenye Kagame sema ndio hivyo uwezo mdogo mkaishia mwanzo mwanzo
   
 12. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  We endelea kukariri matukio
   
 13. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Yanga ndo basiii...... tena
   
 14. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ulikuwepo uwanjani kama mimi mkuu??
  Kweli yanga watoto waliongoza kwa goli 2 kwa bila hadi dakika ya 90 hilo sikatai,na hongereni kwa hilo.....

  Vipi kuhusu lile soka la watoto wa simba uliliona kaka??

  Unakumbuka zile goli mbili walizirudisha ndani ya muda gani..??? na wakaongeza la 3 refa yule Bw.mdogo akakataa??

  Sasa hebu toa maoni yako bila kuegemea upande wowote japokuwa inaeleweka wazi wewe ni mnazi na mwanachama wa timu gani.........

  The Magnificient

  TARIME,MARA-TANZANIA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Upo Mtani, we missed U big, hivi zile mechi zilipigiwa pale Tarime enh?
   
 16. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Bila shaka asingekufa Mafisango msingekuwa na hoja ya kuongea, hivi Simba wakitoa rambirambi mpaka waje wakwambie wewe ili iweje na inakuhusu?

  Ningekuona wa busara wewe na wenzako wote mngeongelea kwanza suala la kuwalipa NJOROGE, PAPIC, TOM SAINTFET kwanza. Mbwembwe nyingi kutoa milioni 100 kuingamiza Simba SC madeni yana washinda kulipa lakini ulisikia lini Simba SC wakaongelea maswala yenu? Hakuna hata siku moja kwasababu hayatuhusu ila nyie umbea kuongelea mambo yasiyowahusu utafikiri wanawake wa mitaa ya uswazi bhana.
  Mambo yanayowahusu na yanayowafaa sana kuyaongelea ni kama haya:

  1. Sababu za kulala mzungu wa nne kule mbeya.
  2. Kwanini viongozi wenu waliruhusu mzungu wa watu kuogea kopo la plastiki.
  3. Kwanini mlilazimishwa kumeza miwa mitatu bila kutafuna kule Manungu Stadium
  4. Kumeza miwa mitatu bila kutafuna kunahusiana vipi na kazi ya msemaji wa klabu mpaka mkamfukuza!

  Hebu anzeni na hayo kwanza halafu ndipo mtapata jawabu la kurudisha magoli matano kwa bila. Mambo ya Simba SC tuachieni wenyewe tuliyamaliza na tutayaliza bila ya migogoro wala kutimuana.
   
 17. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kumbe ndiyo maana huwa mnafungwa 5 kwa ubuyu, mara magoli 3 kwa nunge, halafu hamsemi ukweli mnaacha kocha anafukuzwa buree kumbe yakheeeeeeeeeee kufungwa fungwa hovyohovyo kunasababishwa na nyie kukojolewa kojolewa hovyo.
   
 18. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Watu waliofilisika sera wakishindwa kwa hoja watatafuta uhalali kupitia fani zao. Wewe fani yako ni matusi mpira waachie wenyewe huuwezi, mbona ya mwaka 1977 huyaongelei au wazee wako hawajakusimulia?
   
 19. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mkuu PrN wataonaje wakati macho yao yote walielekeza golini kwa Simba SC washuhudie magoli 5 yakirudishwa, na ndiyo maana wakaelekeza akina KIIZA na wenzake wasiondoke golini kwa Simba SC mpaka wafunge, mpaka wakasahau kama kuna offside trick.

   
 20. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mpalu nimepokea taarifa, tupo pamoja.
   
Loading...