Tuwe wakweli hapa

Hao wadogo wadogo wanasumbua hasa ukikakuta kapo chuo hata majibu yao utajibiwa nop,nthn lakini ndio huwa navitafuna sana.
 
Katika wanawake ambao nilishawahi kuwa na mahusiano nao walionizidi umri hawajawahi kunisumbua, ila kuna hivi vishokomzobe vya chuo unaweza kupasuka kichwa.

Nenda rudi nyingi, leo yes kesho no. Yan ilimradi kakuone unapata shida. Aaah!!
Bora kujiokotea namba A tu hazinaga mapepe. Sema upate ambayo inaweza ku Concieve
 
Mimi Nina aliye nipita one month yaani nilikaotea kakiwa Bikra ila aliniambia miaka baada yakumnyandua anankubali kinoma na namtreet kama kamdolii anaenjoy sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…