Tuwe serious na issue serious za nchi

1. Issue sio Hela issue ni precedence, kama katiba inakiukwa Kesho watu wakichota pesa BOT bila utaratibu unadhani nani atakua na uwezo wa kupinga?? Hata ndani ya chama 2025 mtu akichukua fomu ya Urais bila utaratibu na akapitishwa na NEC awe mgombea nani atamnyooshea kidole?

2.watachangiaje hoja Dhidi ya serikali ambayo imewaweka kwa hisani? Wakiwaudhi si wataondolewa.

3. Yes CHADEMA haitambui uchaguzi so haichukui ruzuku Wala viti 19 whether kina Mdee wangekuepo ama lah vitabaki wazi.

4. Yule mdada wa Nkasi hajafanya jinai yoyote ila amekiuka msimamo wa chama so nidhamu kwake ni tofauti sio kama Hawa waliofoji hadi saini ndio maana watatimuliwa.
 

Hujaandika kitu tofauti na walamba asali wengine, ila ww una tofauti na wao kwenye kuweka paragraph tu. Hayo mambo makubwa ya nchi hakuna anayekuzuia kuyahoji, au unataka uyahoji na kina nani? Kama vipi waagize akina Mdee wakayadai maana wana haki zote za kuwa wabunge.
 

Hili bandiko hata ukilicheki utajua tu huyu mtu ana elimu ya sheria, tena ya UDSM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo sasa ndipo penye maajabu !! Mimi ningewaona Chadema wako sahihi katika hii issue ya akina Halima Mdee kama hawazitaki kabisa hizo nafasi za ubunge kwa sababu wanaamini uchaguzi mkuu haukuwa wa haki !! Lakini kama nia yao ni kuwateua wengine badala ya akina Halima Mdee hiyo itakuwa haileti maana nzuri completely !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…