Kaka umeongea point sana. Nilishawahi kumuuliza mzungu mmoja tuliekuwa nae kwenye project moja nikamuambia mbona nyie mpo mbali kimaendeleo? Akanijibu nyie hampo serious na vitu vidogo vidogo ndo maana mnashindwa kuwa na kikubwa na pia akasema siasa nyie inaendeshwa kwa mdomo haiendani na matendo ndo maana hamuendelei. Tanzania kweli hatuna dira ya pamoja huyu anakuja na KILIMO KWANZA SERIKALI INAWEKEZA NA KUNUNUA MA TREKTA, HUYU ANAKUJA NA UCHUMI WA VIWANDA, YULE ANAKUJA NA PRIVATIZATION MWISHO WA SIKU MNAKUWA NI WATU WA KUANZA UPYA TU. MARK TIME NDO MWENDO WENU HAMUWEZI SONGA MBELE