mpare wa milimani
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 293
- 302
Kununua vitu mtandaoni sio tatizousirudie kurudisha matapishi mdomoni. utanunuaje mtandaoni?
Vipi wale wanaonunua bidhaa kwenye App ya KikuuHakuna kitu rahisi km kuwatapeli watanzania, maana ni wavivu wa kufikiri na kutenda pia, wanapenda dezo dezo. Ukitaka kuelewa hili angalia makampuni ya betting yanavowapiga hela wajinga wajinga wanaocheza!
Unaponunua bidhaa Facebook tena kwa kigezo cha picha na number ya simu Ww ni Kwamba huna akili kabisa!
Sijui Hiyo app aisee.Vipi wale wanaonunua bidhaa kwenye App ya Kikuu
Kuna app inaitwa kikuuSijui Hiyo app aisee.
Mm km naagiza bidhaa nje Hapo Ndio nitatumia wakala km EBAY, Ali Baba nk, kwa hapa kwetu nitaenda mwenyewe au km ni mkoa tofauti nitamuomba mtu aninunulie anitumie basi!
Wewe jamaaa mahondaw yuko wapi
hujui ofisi ilipo wala hutarajii kufika ofis ilipoyanini sasa.Kununua vitu mtandaoni sio tatizo
wengine wanafanya biashara iliyo legit
Kikuu wanakuletea bidhaa yakohujui ofisi ilipo wala hutarajii kufika ofis ilipoyanini sasa.