Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

Nafikiri mazingira pia yalinifanya nimwamini, sababu alikuwa free chuoni na yuko mdogo yaani huwezi fikiria sana, na mapenzi ya dhati yalionekana machoni kabisa, labda ndio fake enyewe ila nahisi kama alikuwa real ,inakuwa raahisi kugundua kama family yake ingekuwa around

sio waschana hata wanaume watadanganywa hadi lini,mi nimeshadanganya wanaume wengi tu...

Si kweli kwamba hawezi kuishi bila wewe.Jaribu kumwambia kama anakupenda kweli amwache mkewe huone jibu atakalokupa.

Nimeipenda hii.
Naona toka mwanzo wa uumbaji wa dunia!
Ilianza kwa Mama yetu Hawa.
Akamzawadia udanganyifu Adam. Udanganyifu wa Hawa kwa Adamu ndo ulitumaliza kabisa, hadi sasa kero tu.
Achana na mawazo ya kuwa mke wa pili, hata kama utaona umri wako unaenda.

Natamani niku-pm

uhuru wa chuo ni wa muda tu, lakini muhimu kama kweli unahitaji uwe na mwenza ni vyema ukawa naye huru zaidi wakati wa likizo

pole mpenzi, ushajua mbivu na mbichi., mwache aendelee na familia yake na wewe utapata mwingine.

Mkuu hii ni sahihi kweli? Siamini.

ni sahihi kabisa, tena huwa namwambia unanidanganya kimoyo moyo. Nikihisi unanidanganya muda si mrefu napata evidence kuwa ulinidanganya. Ni ngumu kuniamini ila habari ndio hiyo.

Dah! Wanaume wengine yaani akufanye mke wa pili baada ya kukudanganya na wewe unaona sawa tu?

Achana na huyo kabisa maana si mkweli hata kidogo. Kama ni wa kukuoa unaweza kuja kwangu kwani mimi ni kweli na muwazi nina wake watano tu.

Pole. Fungua ukurasa mpya kwenye maisha na mapenzi kwa ujumla. Ukisikia ukubwa dawa ndio huo sasa. Yaani ndio umeshakuwa mkubwa sasa. Ila namwonea huruma huyo atayefuata baada ya hapo. Moyo ukishajeruhiwa huachiwa vidonda, vidonga vikipona huacha makovu. Sasa kwenye kovu mara nyingi huwa hakuna hisia halisi kama zile zilizopo kwenye sehemu ambayo haina kovu.

Ndio umeshakomaa hivyo Sara. Songa mbele, picha la maisha ndio kwanza limeanza!

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…