Hao wanampigia kampen Kenyatta indirect walishaona odinga anatumia falsafa za magufuli na jpm nchi anainyoosha wapinzani wakiona anayoyafanya wanachukia. lengo nikutaka odinga actumie jina LA magufuli huko Kenya tena wanasema hayo ili wawa amnishe kuwa raisi Wa Tanzania cyo mzri na ukizingatia odinga nirafki Wa raisi wetu Kwa hyo wameona in vyema wawe waropokaji , Kwa kuangalia tu Hugo msigwa ni wapi na lini alifatiliwa Leo hii anachukulia tukio LA lisu kutafuta kiki za kijinga ambazo hazna tija watakao mwelewa ni watu wenye akili kama zakeNdg zangu poleni na majukumu!!
Kama mtanzania nimesikitishwa sana na kauli alizotoa Mh Msigwa huko Nairobi,Msigwa anadai wanausalama wanamtafuta yeye na wenzake wawaue...ni jambo la kushangaza!!
Ukijiuliza vizuri,Msigwa ni nani mpaka atafutwe? Ana nn cha ziada?
Mchungaji huyu anataka kutumia janga hili la mheshimiwa Lisu kutafuta kiki kiasi kwamba naye ni mtu wa kipekee kama lisu.Tuwe makini maana wanatuchonganisha na serikali tuione haifai kumbe wao ndiyo hawafai maana wana ajenda zao binafsi kuliko za kitaifa.
Nampongez sana mh mbowe ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa sana wakati wa mambo kama haya,Mara nyingi amekuwa ni mtu mvumilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu sana si MTU wa kuongelea jambo asilokuwa na uhakika nalo!!!
Msigwa kwa hali hii unajijusha hadhi kuliko unavyofikiria kujipatia kiki,umeongea BBC mambo yasiyo na maana wala uhakika kazi yako kelele na kutafuta umaarufu wa kisiasa!!
TUWENI MAKINI NAO WATU KAMA HAWA
Hata kwa mheshimiwa Lissu mlisema hivyo hivyo.Hao wanampigia kampen Kenyatta indirect walishaona odinga anatumia falsafa za magufuli na jpm nchi anainyoosha wapinzani wakiona anayoyafanya wanachukia. lengo nikutaka odinga actumie jina LA magufuli huko Kenya tena wanasema hayo ili wawa amnishe kuwa raisi Wa Tanzania cyo mzri na ukizingatia odinga nirafki Wa raisi wetu Kwa hyo wameona in vyema wawe waropokaji , Kwa kuangalia tu Hugo msigwa ni wapi na lini alifatiliwa Leo hii anachukulia tukio LA lisu kutafuta kiki za kijinga ambazo hazna tija watakao mwelewa ni watu wenye akili kama zake
Lissu aliposema anafuatiliwa si mlisema yeye ni nani hata afuatiliwe,haya kamiminiwa risasi unakuja kusema upupu humu.Ndgu zangu poleni na majukumu,
Kama mtanzania nimesikitishwa sana na kauli alizotoa Mh. Msigwa huko Nairobi, Msigwa anadai wanausalama wanamtafuta yeye na wenzake wawaue ni jambo la kushangaza.
Ukijiuliza vizuri, Msigwa ni nani mpaka atafutwe? Ana nini cha ziada?
Mchungaji huyu anataka kutumia janga hili la mheshimiwa Lissu kutafuta kiki kiasi kwamba naye ni mtu wa kipekee kama Lissu.
Tuwe makini maana wanatuchonganisha na serikali tuione haifai kumbe wao ndiyo hawafai maana wana ajenda zao binafsi kuliko za kitaifa.
Nampongeza sana Mh. Mbowe ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa sana wakati wa mambo kama haya, Mara nyingi amekuwa ni mtu mvumilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu sana si mtu wa kuongelea jambo asilokuwa na uhakika nalo.
Msigwa kwa hali hii unajijusha hadhi kuliko unavyofikiria kujipatia kiki, umeongea BBC mambo yasiyo na maana wala uhakika kazi yako kelele na kutafuta umaarufu wa kisiasa.
TUWENI MAKINI NAO WATU KAMA HAWA
Andika ambao sio upupu,mbona unatokwa povu kama mgonjwa wa kifafaLissu aliposema anafuatiliwa si mlisema yeye ni nani hata afuatiliwe,haya kamiminiwa risasi unakuja kusema upupu humu.
Eti Lissu naye alikuwa anatafuta umaarufu.!!?Kuna hii kauli mnapenda kuisema kuwa 'wanatafuta umaarufu' hivi mtu akiwa maarufu iwe kisiasa au vinginevyo inaiathiri vipi nchi yetu?!
Kuz wewe ni mtwala unajaribu kujibalaguza na hila zenu zinafahamika ila Mungu hatakubali maovu yenuNdgu zangu poleni na majukumu,
Kama mtanzania nimesikitishwa sana na kauli alizotoa Mh. Msigwa huko Nairobi, Msigwa anadai wanausalama wanamtafuta yeye na w wewenzake wawaue ni jambo la kushangaza.