Tuwe makini ni siasa zetu, wafanyabiashara watakimbia

Mimi nimeajiriwa na muhindi mkuu, najivunia kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawaelewa watu hao. Are you getting average from a single datum?
Ukiwa na power over them na wanakuhitaji kwa mafanikio ya kazi zao, ni wapole, wanyonge, watakuhonga utakavyo. Hata kampeni za ubunge watakuchangia. Wanaweza kukutumia kama 'kapo' ili uwasaidie kuwadhibiti wengine. Ndo hao uliowaona ni wasemaji wa mtu fulani wanajitokeza na weusi wao.Lakini, kwa mwajiliwa mwingine wa kazi za kawaida na asiyetumika kwa mengine kama hayo, you are useless to them. Utafanyakazi za kihasibu lakini juu yako kutakuwa na kijana wa kihindi ambaye ni form four leaver.

Siyo kosa lao, ni jamii yao. Soma maana ya caste system in India, haiwezi kuwatoka kwa sababu ya Mhasibu mmoja au ajira yako moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…