Tuwe makini ni siasa zetu, wafanyabiashara watakimbia

singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
4,242
2,000
Kuna tweet leo imenishtusha kidogo baada ya kuona muhusika ka"ilike" na tweet yenyewe ukiiangalia kwa maslahi ya nchi tunayumba.
Maana muhusika amewekeza sana nchini katoa ajira nyingi sana na nimzalendo aliyeamua fedha zake asizifiche nchi za mbali bali zinufaishe watanzania walio wengi.
Sasa wabunge wanaolete siasa za maji taka walioshindwa hata kuzuia kikokotoo kipya wanataka kutuzamisha tena shimoni.
Mo akiondoka ni mwekezaji gani serious wa kigeni atakuja?
Mengi katupiga sound hadi leo kiwanda cha simu kiko wapi?
Tuweni makini na wanasiasa vichwa panzi.
IMG_4146.JPG
 
Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
4,899
2,000
Suala la ajira ni gumu sana kulieleza kiurahisi hivyo.
Ajira za wahindi hazina staha hata siku moja! Nani ameajiliwa na Muhindi na anajivunia ajira.
Hizi ndizo Winnie Byanyima anaziita ni ajira bila dignity!
 
DIVIDEND

JF-Expert Member
Jan 15, 2017
1,818
2,000
Suala la ajira ni gumu sana kulieleza kiurahisi hivyo.
Ajira za wahindi hazina ajira za staha hata siku moja! Nani ameajiliwa na Muhindi na anajivunia ajira.
Hizi ndizo Winnie Byanyima anaziita ni ajira bila dignity!
Mimi hapa nimeajiriwa na mhindi na ninafurahia sana ajira yangu kwani ananilipa stahiki zangu zote na mkataba unaheshimiwa.
Acha ujuwaji bwana mdogo
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,655
2,000
Suala la ajira ni gumu sana kulieleza kiurahisi hivyo.
Ajira za wahindi hazina ajira za staha hata siku moja! Nani ameajiliwa na Muhindi na anajivunia ajira.
Hizi ndizo Winnie Byanyima anaziita ni ajira bila dignity!
Kwahiyo muhindi umeenda na skill yoyote au uko uko tu? Zaidi ya nusu ya viwanda hapa nchini ni vya washindi. Nyie waafrika mko wapi wakati hao wahindi nchi hii ni kama 0.0001%?
 
Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
4,899
2,000
Kwahiyo muhindi umeenda na skill yoyote au uko uko tu? Zaidi ya nusu ya viwanda hapa nchini ni vya washindi. Nyie waafrika mko wapi wakati hao wahindi nchi hii ni kama 0.0001%?
Je, watu weusi wana uwezo wa kutoa Ajira hata hizo zisizo na staha ?
You are all offtrack! Kwa hiyo waendelee tu! tindo hiyo 0.0001 unaelewa ni watu wangapi au umeona namba muhimu sana!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,655
2,000
You are all offtrack! Kwa hiyo waendelee tu! tindo hiyo 0.0001 unaelewa ni watu wangapi au umeona namba muhimu sana!
Kwa maneno marahisi, wahindi ni wachache mno ndani ya nchi hii tena wengi wako mijini tu, na waliowengi sio rais bali wakaazi wa muda mrefu hapa nchini.
 
lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
965
1,000
Suala la ajira ni gumu sana kulieleza kiurahisi hivyo.
Ajira za wahindi hazina staha hata siku moja! Nani ameajiliwa na Muhindi na anajivunia ajira.
Hizi ndizo Winnie Byanyima anaziita ni ajira bila dignity!
Kheri ya moja nenda, kuliko kumi nenda rudi. Mbona hizo ajira zenye tija na future mlizonazo mbona hatuzioni? Wahindi wamesaidia sana wananchi mkono kwenda kinywani kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
4,242
2,000
Suala la ajira ni gumu sana kulieleza kiurahisi hivyo.
Ajira za wahindi hazina staha hata siku moja! Nani ameajiliwa na Muhindi na anajivunia ajira.
Hizi ndizo Winnie Byanyima anaziita ni ajira bila dignity!
Wahindi wanapata wapi ujasiri huo kama serikali ingekuwa inaajiri kwa pesa nzuri?
 
TANMOJA

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
401
500
Kuna tweet leo imenishtusha kidogo baada ya kuona muhusika ka"ilike" na tweet yenyewe ukiiangalia kwa maslahi ya nchi tunayumba.
Maana muhusika amewekeza sana nchini katoa ajira nyingi sana na nimzalendo aliyeamua fedha zake asizifiche nchi za mbali bali zinufaishe watanzania walio wengi.
Sasa wabunge wanaolete siasa za maji taka walioshindwa hata kuzuia kikokotoo kipya wanataka kutuzamisha tena shimoni.
Mo akiondoka ni mwekezaji gani serious wa kigeni atakuja?
Mengi katupiga sound hadi leo kiwanda cha simu kiko wapi?
Tuweni makini na wanasiasa vichwa panzi.
View attachment 1015953
MaCCm hawawezi elewa...Sera yao ya tajiri awe na maisha kama shetani ndo wanaoijua
 
Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
4,899
2,000
Kheri ya moja nenda, kuliko kumi nenda rudi. Mbona hizo ajira zenye tija na future mlizonazo mbona hatuzioni? Wahindi wamesaidia sana wananchi mkono kwenda kinywani kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo kama haya ndo yaliwafanya wenzako kuswangwa toka ujiji hadi bagamoyo na kuingizwa utumwani, kwa gobole moja la mwarabu. Yaani bora mkono uende kinywani, bora uwe hai, nk. kumbe tabia inajijenga na mwishowe hakuna changes! Mbona wahindi wa London hawaleti upuuzi kama huo?
 
Bobby

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,949
2,000
Suala la ajira ni gumu sana kulieleza kiurahisi hivyo.
Ajira za wahindi hazina staha hata siku moja! Nani ameajiliwa na Muhindi na anajivunia ajira.
Hizi ndizo Winnie Byanyima anaziita ni ajira bila dignity!
This is too general brother uwe makini. Mwaka jana nilifanya interviews kwa ajili ya kumpata assistant accountant ofisini kwetu. Mmoja wa candidates alikuwa ni dada aliyekuwa kwenye ajira ya mhindi. Mshahara aliokuwa analipwa na huyo mhindi ulikuwa ni mkubwa by far ukilinganisha na ule ambao tungemlipa sisi so hatukuweza kumchukua kwa kuwa budget yetu isingeweza though alikuwa the best. Biashara za wahindi ziko za aina nyingi na nyingine ni very professional.
 
lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
965
1,000
Mawazo kama haya ndo yaliwafanya wenzako kuswangwa toka ujiji hadi bagamoyo na kuingizwa utumwani, kwa gobole moja la mwarabu. Yaani bora mkono uende kinywani, bora uwe hai, nk. kumbe tabia inajijenga na mwishowe hakuna changes! Mbona wahindi wa London hawaleti upuuzi kama huo?
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru mmekuwa madarakani,mmeshindwaje kujua na kuyarekebisha haya?
Miaka3 sasa ya utawala mpya mmefanya nini, zaidi ya misifa tu!
Alafu mbona unaifananisha Tanzania na nchi za mabeberu!? KUMBE NINYI DISH LINAYUMBA EEH!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
airbag

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
1,370
2,000
bLaza kaka
Niko kwenye field
Mo si ajira tu, MO ana umuhimu wake sana hapa TZ kama ni kuajiri amejiri mpaka sisi tuliojiajiri.

Wacha kabisa
Suala la ajira ni gumu sana kulieleza kiurahisi hivyo.
Ajira za wahindi hazina staha hata siku moja! Nani ameajiliwa na Muhindi na anajivunia ajira.
Hizi ndizo Winnie Byanyima anaziita ni ajira bila dignity!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom