Tuwe makini ni siasa zetu, wafanyabiashara watakimbia

This is too general brother uwe makini. Mwaka jana nilifanya interviews kwa ajili ya kumpata assistant accountant ofisini kwetu. Mmoja wa candidates alikuwa ni dada aliyekuwa kwenye ajira ya mhindi. Mshahara aliokuwa analipwa na huyo mhindi ulikuwa ni mkubwa by far ukilinganisha na ule ambao tungemlipa sisi so hatukuweza kumchukua kwa kuwa budget yetu isingeweza though alikuwa the best. Biashara za wahindi ziko za aina nyingi na nyingine ni very professional.
Mimi nimeajiriwa na muhindi mkuu, najivunia kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawaelewa watu hao. Are you getting average from a single datum?
Ukiwa na power over them na wanakuhitaji kwa mafanikio ya kazi zao, ni wapole, wanyonge, watakuhonga utakavyo. Hata kampeni za ubunge watakuchangia. Wanaweza kukutumia kama 'kapo' ili uwasaidie kuwadhibiti wengine. Ndo hao uliowaona ni wasemaji wa mtu fulani wanajitokeza na weusi wao.Lakini, kwa mwajiliwa mwingine wa kazi za kawaida na asiyetumika kwa mengine kama hayo, you are useless to them. Utafanyakazi za kihasibu lakini juu yako kutakuwa na kijana wa kihindi ambaye ni form four leaver.

Siyo kosa lao, ni jamii yao. Soma maana ya caste system in India, haiwezi kuwatoka kwa sababu ya Mhasibu mmoja au ajira yako moja.
 
Back
Top Bottom