Tuwe makini na matapeli hawa

Tuwe makini na matapeli hawa

Joined
Jul 29, 2014
Posts
27
Reaction score
5
Jaman kuna matapeli wametapakaa wanajifanya wameagiziwa na MZUNGU kununua dawa iitwayo QUARANTINE hii hupatikana viwandan viitwavyo ROYAL CHEMICALS FACTORY sera yao nikukutaka wewe msomi uongee na huyo mzungu mpange bei ya juu zaidi kulgana na uhtaji wa kiasi kikubwa kama dumu hamsin (50) zenye ujazo lita 20 kila moja.

Plan yao ule mzigo ununuliwe kias cha milion 25 ivo bac watakuomba uongee na boc wa kiwandan il muelewane naye mana wanadai gharama ya mzigo n milion 15 inayobak mpige panga.

Utapel wao wamejigawa makundi wanadai wapo morogoro usafir wao ni ndege mmoja wao anajifanya mzungu na anaongea vzur sana kizungu na wengine wanajifanya makago wake mana ya wabeba mizgo. Bos nae anajifanya kukulpa pesa kupitia a/c yako au cash huku na wewe umejifanya meneja wa hcho kiwanda na mzungu nae anataka umpe serial no. ya hzo package bac ukiomba hzo no. Meneja atakuambia utoe chako kdogo mfukon kama laki tatu na nusu naumtumie kwa njia ya mpesa haraka iwezekanavyo anadai awalipe wafunga mzigo!

Jihadharin sana na hao vjana matapel!
 
Hii ya zamani sana, hata hapa JF ishajadirika sana, ebu search utazipata.
Pole kama umeliwa kaka. Hiyo ndo dasilamu.
 
Back
Top Bottom