Tuwe makini: Ipi bora kutenguliwa uteuzi au kutenguliw Kiuno?

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Ni vizuri kuwa wasikivu na watu wa kuchukulia mambo ya maana kwa uzito na umakini. Tusiwe watu wa kushabikia siasa.

Kama nimepoteza kitu naweza nikitafute nikipate au nikikose, tena nikikose kabisa. Lakini pia mambo haya ni kama mpira, hata kama una ukwasi lazima uwe na nidhamu ili udumu kwenye mchezo. Siasa haiko mbali na mambo haya....

Ukiwa unaonekana hufiti ama umewekwa ili utumike pahala pengine panapokufaa zaidi, kuwa mkimya ni vzr sana ktk siasa. HAITOSHI MITANDAO KUJAA habari za kutenguliwa teuzi za Mh. Rais. Na yeye anajua, anafanya nini, ana maeneo mengi ya kuwaweka watu. Huyu asipofaa hapa atafaa pale. Wachache wasiojua mchezo huu hupiga kelele wanapotenguliwa teuzi zao.

HAIPENDEZI HATA KIDOGO.
 
Back
Top Bottom