Tuwe macho watanzania wote

Tuwe macho watanzania wote

jakackseru

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
132
Reaction score
27
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la viongozi wengi wa ccm kutangaza nia yakuwania kuteuliwa kugombea kiti chaurais,kila mmoja ndani ya ccm anatangaza nia kwastyle yake,mpaka leo tumeshawasikia wengi ambao natumai wafuatiliaji wamaswala yakisiasa mtakuwa mnawajua.
Napata wasiwasi napia nawataka watanzania wezangu hasa wapenda mabadiliko tuwe makini,kinachofanywa na CCM sibahati mbaya ila nimkakati maalum wakuteka fikra zawatanzania nakusahau mabadiliko waliyokusudia kwani kila kukicha habari kubwa zitakazokuwa zinasikika nikuhusu CCM tu,tuwe makini natusisahau kuwa mkakati wao huu wakuteka hisia za zetu nakuanza kuwafikiria wao ilihali tumeshawachoka.
Watanzania wezangu wapenda mabadiliko hawa wote nimajamb......zi nahakuna hata mwenye tofauti kwani mtoto wanyoka ninyoka,leo wanajifanya kuwa namitizamo tofauti lakini tukishawachagua lao lilelile.
 
Back
Top Bottom