Tuwatie Adabu, Wanastahili adhabu!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Wakuu,

Ukweli lazima usemwe hata kama mchungu kiasi gani. Hatuwezi kujenga nchi ya kizalendo bila kuelezana ukweli. Marudio ya uchaguzi kinondoni mazingira yake ni aibu mno kwa Taifa maskini kama hili.

Laiti CCM wangependekeza mgombea mwingine walau inge make sense lakini kumrudisha Mtulia ni matusi kwa wananchi.

Wananchi wa kinondoni kwa umoja wenu watieni adabu CCM. Wanastahili adhabu, wanastahili kuoneshwa jeuri, wanastahili kushikishwa adabu.

Kinondoni toeni funzo! Si sababu ni CCM ...la hasha ....bali wamewakosea heshima ....mpelekeni Salim Mwalimu bungeni watie akili ....

MSIFANYE KOSA! NEVER!

f5a10e93cbf2c6970b851b2387027d43.jpg
 
Duh! Ni wewe MTAZAMO unaongea haya au ni ndoto? Mkuu, inayo-hit hivi sasa ni the so called UZALENDO wa majukwaani hayo mengine hayana issue.
 
Sifa #1 uwe kwenye chama chetu kile.
Kama ndio hivyo, basi tusahau kuingia ktk kundi la Tz ya viwanda, fikra za aina hiyo haziwezi kulivusha taifa kama tunafungia nje fikra pinzani na kuziona si za kizalendo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu naona ufahamu wa MTAZAMO yule wa zamani umerudi japo kwa dakika chache au kuna mtu kaiba pw yako.:mad:

Wakuu,

Ukweli lazima usemwe hata kama mchungu kiasi gani. Hatuwezi kujenga nchi ya kizalendo bila kuelezana ukweli. Marudio ya uchaguzi kinondoni mazingira yake ni aibu mno kwa Taifa maskini kama hili.

Laiti CCM wangependekeza mgombea mwingine walau inge make sense lakini kumrudisha Mtulia ni matusi kwa wananchi.

Wananchi wa kinondoni kwa umoja wenu watieni adabu CCM. Wanastahili adhabu, wanastahili kuoneshwa jeuri, wanastahili kushikishwa adabu.

Kinondoni toeni funzo! Si sababu ni CCM ...la hasha ....bali wamewakosea heshima ....mpelekeni Salimu Mwalimu bungeni watie akili ....

MSIFANYE KOSA! NEVER!
 
Maandamano tayari ya kumsindikiza mbunge mteule Salum Mwalimu (CHADEMA) jimbo la Kinondoni kuelekea kula kiapo cha kuwa mwakilishi wa wana-Kinondoni bungeni hufanyika kila siku, kesho ni suala tu la kisheria kupigiwa kura nyingi za ndiyo

Kinachoniuma na kunisikitisha ni kuwa mpaka sasa mawakala wa Chadema hawajapewa barua za viapo na mkurugenzi wa uchaguzi.

Hii serikali imejisahau sana na kuona watanzania hatuna akili wala upeo wa kuchanganua mambo.
 
Mkuu wanastahili adhabu hawa. Tuwatie adabu watuheshimu ....
 
Hivi ndivyo ulivyokuwa zamani na michango iliyotulia ghafla ukabadilika na kuanza kuwaunga mkono wahuni, wezi, wauaji na manyang’au ya CCM.
Hatuwezi kuchoma fedha za umma kwasababu za kipuuzi kiasi hiki....it's mad ...
 
Wakuu,

Ukweli lazima usemwe hata kama mchungu kiasi gani. Hatuwezi kujenga nchi ya kizalendo bila kuelezana ukweli. Marudio ya uchaguzi kinondoni mazingira yake ni aibu mno kwa Taifa maskini kama hili.

Laiti CCM wangependekeza mgombea mwingine walau inge make sense lakini kumrudisha Mtulia ni matusi kwa wananchi.

Wananchi wa kinondoni kwa umoja wenu watieni adabu CCM. Wanastahili adhabu, wanastahili kuoneshwa jeuri, wanastahili kushikishwa adabu.

Kinondoni toeni funzo! Si sababu ni CCM ...la hasha ....bali wamewakosea heshima ....mpelekeni Salim Mwalimu bungeni watie akili ....

MSIFANYE KOSA! NEVER!

f5a10e93cbf2c6970b851b2387027d43.jpg
Naona shostiyo Mnyika ananenepaa
 
Mbunge mteule Salum Mwalimu (CHADEMA) afunga kampeni za uchaguzi mdogo wa Kinondoni kwa kuwakumbusha wasifanye makosa na kukubali dharau ya CCM kumrudisha mbunge ''aliyejiuzulu". Pia anatabainisha uchaguzi huu ni kura ya maoni dhidi ya sera za CCM na serikali inayoiongoza zinazowaumiza Watanzania kiuchumi, ajira na.....

Back
Top Bottom