Hakuna wa kumshinda Zitto ubunge na hahitaji kampeni
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Vipi na anaetoa amri za kuua binadam wengine?. Yeye ataishi milele?.Sawa, lkn cha moto kakiona, Mungu kampiga ajali kumkumbusha kwamba sisi wote ni wasafiri na hapa tunapita hakuna haja ya kumzushia binadamu mwingine kifo, ...
Huyu Hassani Mwalimu ni wa jimbo gani? Naye kapata ajali?Hassani Mwalimu chadema sio mtu?!
Kwa hiyo wewe dada unashangilia?Sawa, lkn cha moto kakiona, Mungu kampiga ajali kumkumbusha kwamba sisi wote ni wasafiri na hapa tunapita hakuna haja ya kumzushia binadamu mwingine kifo, ...
We ni sadist unafahamikaSawa, lkn cha moto kakiona, Mungu kampiga ajali kumkumbusha kwamba sisi wote ni wasafiri na hapa tunapita hakuna haja ya kumzushia binadamu mwingine kifo, ...
Rafiki yangu nitakuwa pemba juma lijalo tujuane
Rais alikuwa hoi bin taaban na aliponea tundu la sindano usifanye mchezo na watu wa kusini,mpaka kaogopa kwenda kufanya kampeniSasa kwa nini alimzushia kifo Raisi wa JMTZ? Alikuwa anafikira nini labda kwamba yeye kifo hakimuhusu au? Mungu kamkumbushia kidogo tu, labda next time atajifikiria mara mbili kama hata ana huo uwezo, who knows?
Hassani Mwalimu ndie yupi,? Au umekusudia Hassani Abbas yule msemaji wenu wa uongo? Katafute mbege unywe siasa tuachie wenyewe.Hassani Mwalimu chadema sio mtu?!
Duuh! Unashangilia?Zito Kabwe alimzushia Raisi wa JMTZ kifo, sijui alifikiri yeye ni immortal ? Ona sasa anatembelea tumbo, na Ubunge ndo bye bye tena, ...
Duuh! Unashangilia?
Uwe na haya na uwe na utu. Tofauti za kisiasa isiwe chanzo cha chuki kiasi hikiKushangilia nini?
Uwe na haya na uwe na utu. Tofauti za kisiasa isiwe chanzo cha chuki kiasi hiki
Eti ubunge ndio byebye utafikiri zito akikosa ubunge atashindwa kuishi, mtu kawa mbunge vipindi vitatu atashindwa kuishi kweli? Wewe na ukoo wako wote hamfikii maisha ya zitoZito Kabwe alimzushia Raisi wa JMTZ kifo, sijui alifikiri yeye ni immortal ? Ona sasa anatembelea tumbo, na Ubunge ndo bye bye tena, ...
Sawa, lkn cha moto kakiona, Mungu kampiga ajali kumkumbusha kwamba sisi wote ni wasafiri na hapa tunapita hakuna haja ya kumzushia binadamu mwingine kifo, ...
Eti ubunge ndio byebye utafikiri zito akikosa ubunge atashindwa kuishi, mtu kawa mbunge vipindi vitatu atashindwa kuishi kweli? Wewe na ukoo wako wote hamfikii maisha ya zito