Habar zenu marafiki.
Habar nzuri kwa wenzetu waliofanya mitihani mwaka 2013 ikiwa ni trial,huku wakipewa pongezi kwa wingi wakiwemo walimu na wazee,wanafunzi hao walifaulu vizuri trial yao.
Wanafunzi walioanguka wana credit nzuri.
Akiwemo mwanafunzi Said yahya wa kinuni,na wengine wengi kama salim ali,nassor said yussuf anas na wengineo.