Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Duh!jamaa amewaza na kuwazua lakini hamekosa majibu sahihi!
Ipo siku tutamwondoa mkoloni mweusi!Mambo ya maccccm na li serikali lao lililo jaa dhuruma kwa wananchi wasio na hatia.
Teh teh teh !amenenepa kichwa,hii ni kali ya mwaka!
Haya ndiyo maisha halisi ya kibongo!hapa manesi wanawaza kuiba bandeji na drip, mateafic ndio tutakoma kitaa
Hawawezi kukubali kukiachia kwa hiari yake,mbaka anyanganywe kwa nguvu!
Hii sijui ni kanuni gani ya uchumi!