Tuwachore...............

Hata mi siku ile ya mgomo wa magari na wa maduka huwa siendagi kazini na huwa na furaha teli na huwa naomba dua iwe kila weeki migomo
 
Yaani kuna watu hua wapo makini kufuatilia matukio, kama unamdai au kuna kitu anatakiwa akufanyie kila ukimpigia simu utasikia " si unajua tena mgomo wa madereva..." mara "...haujasikia kuna mgao mkali wa umeme.." yaani hakosi sababu wakati matukio yenyewe hayamhusu ili mradi kujitetea tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…