Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Nov 19, 2014 #1
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 20, 2014 #2 Hii itakuwa inchi ya IPTL na ipo mashariki ya bahari ya hindi maaana nasikia viongozi wake ni materonea lakini watu wake ni hoi bin taaban na wanasubiri kudura ya mungu tuu
Hii itakuwa inchi ya IPTL na ipo mashariki ya bahari ya hindi maaana nasikia viongozi wake ni materonea lakini watu wake ni hoi bin taaban na wanasubiri kudura ya mungu tuu
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Nov 20, 2014 #3 Hapa bwana, nchi ya maziwa na asali ni nyumbani kwako wewe na mkeo. Ukisubiri CCM ikuletee raha utangoja sana.
Hapa bwana, nchi ya maziwa na asali ni nyumbani kwako wewe na mkeo. Ukisubiri CCM ikuletee raha utangoja sana.