Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Nov 11, 2014 #1
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Nov 11, 2014 #2 Tatizo la eengi mkuu, hatusomi
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Nov 11, 2014 #3 Yaani hii yafaa Salva Rweyemamu aione,maana kuelimisha wananchi hawataki wenyewe wanataka kura ya ndiyo tuu
Yaani hii yafaa Salva Rweyemamu aione,maana kuelimisha wananchi hawataki wenyewe wanataka kura ya ndiyo tuu
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 11, 2014 #4 Ama kweli mbaazi zikikosa maua husingizia jua ni muda gani wa kukaa na kuisoma na kuitafakuru na kuitafari kwa mlala hoi na elimu yetu ni bado ipo chini kwa kuitambua ni sahihi au la lakini leo ni tunaona ni kizai zai tu au ndo gurudumu liende tu
Ama kweli mbaazi zikikosa maua husingizia jua ni muda gani wa kukaa na kuisoma na kuitafakuru na kuitafari kwa mlala hoi na elimu yetu ni bado ipo chini kwa kuitambua ni sahihi au la lakini leo ni tunaona ni kizai zai tu au ndo gurudumu liende tu
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Nov 11, 2014 #5 Nimeikubali.