Inaonisha hapa ni kama usanii au igezo la weeki kwenye I T V yaani hakuna kitu cha maana zaidi ya posho ndo muhimu zaidi koliko masilai ya wana inchi na kila kiongozi atataka kuuza sura yake na hasa kwenye magaziti kasema hili na kanena hilo basi na haya magaziti hibu punguzeni mambo ya katiba yaani kurasa tatu hadi nne na kila weeki na hasa fahamu na rai yaani imekuwa kinyaa tupu