TUWACHORe.........

 
Unaona mnavyobisha hizo sio hela za serikali na mheshimiwa mwigulu nchemba koshatolea maelezo.

Acha ushabiki wa ajabu mkuu. Waingereza walivyosimamia chenji ya Rada mukarudishiwa zilikuwa za seriali ya Uingereza?
Kwanini tusitetee PESA za uma kwa pamoja badala yake ccm munatetea wezi?
 
Acha ushabiki wa ajabu mkuu. Waingereza walivyosimamia chenji ya Rada mukarudishiwa zilikuwa za seriali ya Uingereza?
Kwanini tusitetee PESA za uma kwa pamoja badala yake ccm munatetea wezi?

Hizo hela hata mheshimiwa rahisi kishatolea maelezo si vizuri kuwa kinyume na rais wako.tatizo la wapinzani hamuheshimu utawala.hata kama zimechukuliwa zitatumika kwenye kampeni mzunguko wa hela utakuwa mzuri.
Tafuteni ya kufanya sio kukosoa kila kitu.
 

Kwahiyo rais akiwa mwizi tushangilie tu kwakuwa ni rais?
 
Jamani sijui na ile mvua ya kutoka Thailand imeishia wapi au kwa kuwa aliyetaka kuileta aliondoka madarakani ,basi kaondoka na kilicho chake? maake mgao wa umeme ndio unapiga hodi hivo.
 
Hadi tukifika 2015 tutasikia ahadi nyingi sana

Kama ile ya watu wa kijiji fulani kilichopo kwenye jangwa kuahidiwa kujengewa daraja
ili wavuke vizuri mto, wakati hata huo mto wenyewe wanauona kwenye TV tu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…