TUWACHORe.........

Inawezekana hiyo.

Huo mtambo unaitwa Desalination Plant/Water treatment plant.

Maeneo mengi ya mashariki ya kati wanabadilisha maji ya bahari kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani.

Hata bongo vipo baadhi ya visiwa vidogo vinatumia mitambo ya aina hiyo kusafisha maji ya bahari kwa matumizi ya nyumbani.

Tatizo je, viongozi wana utayari huo?........maana ni investment!
 

Labda ccm ikiondoka madarakani zaidi ya hapo alfu lela ulela.
 
Hadi tukifika 2015 tutasikia ahadi nyingi sana
 
Kuwajaza tena mafisadi hela kupitia kampuni zao. Kuanzia siku issue inakuwa introduced utaratibu wa kuchonga kampuni unaanza!!! Utasikia HQ Texas!!!! Kwani wakijenga visima vikubwa kwenye source za maji kama Rufiji, Ruvu hata Wami haitoshi? Investment ya huo mradi japo sijaufanyia kazi utakuwa mkubwa sana.
 
Kuna kitu kipanya kamaanisha lakini sio MAJI YA BAHARI kama wadau wengi walivyoelewa.
Try to think deep.
 

Wakishaleta tutayanywaaaaa then after several years utasikia haohao waliogundua huo mtambo wanatutangazia kupitia BBC kwamba mitambo hiyo inazalisha MAJI yenye mazara ya homa ya ini ,mapafu, kansa ya koo, upungufu nguvu zakiume etc.
 
Wala hatuitaji uo mtambo wanataka kutuongezea deni awa watu alafu na wizi umo umo wakati ruvu rufiji maji yanamwagika bure
 
Si kweli. Mbona zile billion 200 za ESCROW tumekubali kwamba ccm mumeiba mufanyie kampeni mwakani nyinyi mukashindwa kukanusha.

Unaona mnavyobisha hizo sio hela za serikali na mheshimiwa mwigulu nchemba koshatolea maelezo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…