Tuwachore

Ooyooo kwa kweli hii mbili hawakujali na wala hawakujui ya kwamba wewe ni unazalisha shebe na wao kutoka manundu kama mapipa tena wana kamua sana hawa wakulima lakini subira huvuta heri na iko njiani nema ya ikulu tatu na amka na huo usingizi wa pono
 
Hiyo ndiyo Bed Rest Now (BRN) for Kilimo Kwanza!!!! Tanzania tunaimba kilimo tunchotegemea hali ya hewa!!! Mvua kidgo njaa mvua nyingi nayo ni njaa inaharibu mimea!!! Zana za kilimo je? Mkulima anataka kuvua ila anakutana na bonde la changamoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…