Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 May 21, 2014 #1
F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 196 May 21, 2014 #2 watanzania wajinga sana hasa wanasiasa
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 May 21, 2014 Thread starter #3 fukunyungu said: watanzania wajinga sana hasa wanasiasa Click to expand... Sisi Wananchi ndio wajinga Wana-Siasa ni Wajanja sana wana Siasa wana nyumba nzuri wana magari mazuri wananchi walala hoi wana kitu gani? Tofautisha hapo mkuu fukunyungu
fukunyungu said: watanzania wajinga sana hasa wanasiasa Click to expand... Sisi Wananchi ndio wajinga Wana-Siasa ni Wajanja sana wana Siasa wana nyumba nzuri wana magari mazuri wananchi walala hoi wana kitu gani? Tofautisha hapo mkuu fukunyungu
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 May 21, 2014 #4 Wananchiiii tunajenga... Wanamaliza kupaka rangi
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 21, 2014 #5 Ooyooo huku bara ni bada tumelala na usingizi wa pona na kule kisiwani wamesha amka na huku tunao tuu kama wafalme wa uwarabuni
Ooyooo huku bara ni bada tumelala na usingizi wa pona na kule kisiwani wamesha amka na huku tunao tuu kama wafalme wa uwarabuni
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,269 May 21, 2014 #6 mpaka usingizi wa wananchi uishe, kutakuwa na mashimo tu
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 21, 2014 #7 Gunia linatundu limeliwa na panya:shock::shock: