Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 May 15, 2014 #1
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 15, 2014 #2 Ameamua kuwa mkweli, bora SISIEM wangekuwa wakweli kama huyu jamaa
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,494 Reaction score 100,895 May 15, 2014 #3 hahahahahahhahaaaa si akakae pale getini? Mbona FFU wanakaaa getini pale ikulu miaka yote?
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 May 15, 2014 #4 ''miezi sita'' literaly means ''kadri nitakavyo''
Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,844 May 15, 2014 #5 nani huyo?
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 15, 2014 #6 Mkuu yaani unataka ukai muda mfupi tu na kuna wengeni wanatamni wakai humo kama wafalme na umauti uwachukuwe humo humo na hata kama hauwezi lakini kubanduka humo ni kama miiko ya marehemu
Mkuu yaani unataka ukai muda mfupi tu na kuna wengeni wanatamni wakai humo kama wafalme na umauti uwachukuwe humo humo na hata kama hauwezi lakini kubanduka humo ni kama miiko ya marehemu
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 May 15, 2014 #7 Ndo akili yake inavyomtuma....... hahahahahahaha kipanyaaaaa....... tuwachoreeeeeeeeee!!!!
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 15, 2014 #8 Akae tuu japo miezi sita halafu mtajiju!!!
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,966 May 15, 2014 #9 Huyu mwenye ndoto na matamanio haya ni mmoja tu Tanzania. Bahati mbaya ni miongoni mwa waliopigwa kufuli la mdomo.
Huyu mwenye ndoto na matamanio haya ni mmoja tu Tanzania. Bahati mbaya ni miongoni mwa waliopigwa kufuli la mdomo.