Tuwachore

hata wakiongezewa bado hazitawatosha kwasababu akili zao zinawaza pela sio uzalendo
 
ningekuwa ni mimi,napiga chini wote halafu nachagua wapya. iyo hela ni nyingi sana, kuna watu huku nje wanatamani wangeenda kule wapate hata laki moja tu hata alfu hamsini tu wangekubali; wao wanasema laki tatu ni ndogo? mbona wanamchezea rais na kudhihaki kodi za watz namna hiyo, wawe na adabbu ati....watangulize utaifa mbele sio maslahi, kitendo chao cha kutanguliza maslahi kwanza hicho kinafanya wawe disqualified kwenye umma wa watz. anayeona hiyo hela ni ndogo apige chini abadilishane na mimi, mimi niende yeye asuse.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…