jibu hoja zake siyo kumshangaa tu mheshimiwa bubu, haitusaidii kushangaaa
Kwani alichosema hakina maana kwako? Pengine kina maana elfu mia kwa wananchi wengine wenye nia kama yake. Wala huna haja ya kumwonea huruma! Suala hapo ni kuikubali hoja yake ama kuipinga.Masikini Mbatia sijui sikuhizi kawaje? Zamani alikuwa akiongea mambo ya maana lakini siku hizi ni utata mtupu!
Mimi namuunga mkono Mbatia, kwa sasa wengi wataona ni mwehu, lakini ndio moyo wa kizalendo!
Tunapoteza muda tu, kuna mafisadi kama wafanyakazi wa kawaida maofisini wanaojiwekee safari zisizokuwa na tija na posho za ajabu ajabu kila siku....
Tangu lini mtu anayelipwa 500,000/= awe na nyumba ya millioni 80 tena wakati huo huo anaenda kazini ati kutafuta sh. 500,000/-
Wizi mtupu kila mahali!
Mimi namuunga mkono Mbatia, kwa sasa wengi wataona ni mwehu, lakini ndio moyo wa kizalendo!
Tunapoteza muda tu, kuna mafisadi kama wafanyakazi wa kawaida maofisini wanaojiwekee safari zisizokuwa na tija na posho za ajabu ajabu kila siku....
Tangu lini mtu anayelipwa 500,000/= awe na nyumba ya millioni 800 tena wakati huo huo anaenda kazini ati kutafuta sh. 500,000/-

Kwani alichosema hakina maana kwako? Pengine kina maana elfu mia kwa wananchi wengine wenye nia kama yake. Wala huna haja ya kumwonea huruma! Suala hapo ni kuikubali hoja yake ama kuipinga.