Wandugu,
Mimi naona huu ni kama usanii mwingine wa hii serikali kwani kwa sasa serikali nzima ya ccm inaona hakuna jipya la kufanya ili kuaminiwa kwani wamesharibu mpaka kijijini, ile kuvuta attension ya wananchi na kurusidha imani wanajaribu kufanya haya ya kutengeneza kesi tata.
At the end wote tutakuwa mashahidi hawatafika segerea kama wengi wanavyodhani na hakuna fedha zozote zitakazorudishwa zaidi ya kiini macho kinginge.
ni kweri hatuna haja ya kuipongeza serikali kwa kuwafikisha hawa mahakamani, kwani kufikishwa mahakami ni one step na kuchukuliwa hatua ni another step, mahakama zetu zenyewe ziko corrupt na zina sheria tofauti kwa walionazo na wasionazo
Nwakilisha
Huo ndio ukweli mtupu. Tamthilia ya nguvu ndo inachezwa na imejipatia watazamaji kilaini tu! Wajinga ndio waliwao! Tunazindi kuingizwa mkenge wallahi. Kwa nini BPM na DY waende keko kwa VX kama si usanii mkubwa wa mwaka 2008? Kwa hiyo kila mahabusu akajichukulie usafiri wake??
Kweli hii ni moja ya zile tamthilia kali za ki-TZ. Kwanza ni pale mtu alipopewa muda wa kushughulikia send-off na pili ni pale wanapopelekwa "keko" kwa VX. Tuwe macho. Tukishangilia sana watajua tumeridhika, watazima moto polepole. Tusiache kupiga kelele za "haki itendeke" maana usanii sasa umepanda daraja!Huo ndio ukweli mtupu. Tamthilia ya nguvu ndo inachezwa na imejipatia watazamaji kilaini tu! Wajinga ndio waliwao! Tunazindi kuingizwa mkenge wallahi. Kwa nini BPM na DY waende keko kwa VX kama si usanii mkubwa wa mwaka 2008? Kwa hiyo kila mahabusu akajichukulie usafiri wake??