hapo.makaazi masaki shopin shoprite usafiri prado full kiyoyozi. ole wake akatize manzese na balaa zaidi iwe kwa mfuga mbwa aone atakavyogombewa. ndani ya sekunde hatamaniki wala kutambulika. anyway kapendeza sana machoniteeeehh teeeeeeeh teeh bongo itakuwa hatariiii!!!:nerd:
Wana JPHOTO, mmewahi kujiuliza kwanini weusi wengi ndio bodyguards wanaoaminika?
Na kwanini tufe la ramani ya dunia lazima liweke bara la Afrika mbele wakati kuna mabara 7 ya dunia?
Bigrita, namaanisha bodyguards wengi ni weusi, na wanaonekana kuiva kwenye hiyo fani.mbona mi siaminiki japo mweusi?
picha ya mwisho..huyo wa kushoto kwake nina wasiwasi punga,,..kwa wazungu ni jambo la kawaida kwa hiyo sijamtukana