Tuulinde Mwenge Wetu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Nawaza tu iwapo huo MWENGE UTAACHWA PEKE YAKE HAPO HAPO ....
 
Ukiibiwa?


Na nani kichaa kiasi cha kuiba mwenge?

Ni nembo ya taifa hiyo!!


Iheshimiwe sana!!

Ndio, IHESHIMIWE SANA!!

IDIOT!
 
Nasikia mbio zikishamalizika kiongozi wa mbio huwa hachukui muda anakabidhi jezi anawahi viwanja mbinguni
 
Yaani ata sielewi ni kitu gani hiyo ya kishetani, alafu inalindwa kabisa, nchi laana tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…