Anaanzia gross salary ya 1,411,000
laki nane au tisa una mhusu kwenda nayo nyumbani, marupurupu tee hapo
Anaanzia gross salary ya 1,411,000
mkuu hiyo siy kweli!kiasi hicho si cha mtu anaye anza,kiasi sahihi ni alichokisema RICARDO KAKAAsante kaka. Nashukuru...angalau inatosha kuanza maisha. Namshukuru mungu kwa kweli
Asante mkuu Ricardo kaka. Naelekea Moshi kuanza kazi, nawashukuru wadau, hili jukwaa linasaidia sana. Kikubwa ni kuaamini. Vijana wote ambao mna GPA 3.8 pelekeni vyeti vyenu kwenye mavyuo mtapata kazi kama mimi nilivyovyafanya. Nilituma kila chuo barua na vyeti. Usisubiri watangaze
duh!roho mbaya haijengiToa pumba zako hapa. Mbona wakati unatuma/sambaza hujatushirikisha? Sasa unakuja hapa eti unamshukuru mungu!! Mungu hapendi ubinafsi na unafiki!
Toa pumba zako hapa. Mbona wakati unatuma/sambaza hujatushirikisha? Sasa unakuja hapa eti unamshukuru mungu!! Mungu hapendi ubinafsi na unafiki!
Asante kaka. Nashukuru...angalau inatosha kuanza maisha. Namshukuru mungu kwa kweli
Wadau tutorial assistant katika chuo cha serikali anaanza na sh?? Kama gross?
Toa pumba zako hapa. Mbona wakati unatuma/sambaza hujatushirikisha? Sasa unakuja hapa eti unamshukuru mungu!! Mungu hapendi ubinafsi na unafiki!
Wadau tutorial assistant katika chuo cha serikali anaanza na sh?? Kama gross?
nitajribu nami kusambaza kwenye vyuo. Nina GPA 4.2 na ndoto yangu nkuwa mkufunzi siku moja. BARIKIWA KAKA, umenifungua macho
GPA ya 4.2 umesoma chuo gani Mkuu?