Tutorial assistant (wildlife management and tourism post (SUA)

Kuna written na oral exams
Written ni kingereza tu general questions mfano andika maneno 400 utaifanyia nin SUA kwa nafasi uliyoomba? Introduce yourself not more than 300 words, kusoma paragraph na kujib maswali, matching items, multiple choice.

Ama mnaweza Fanya written exam inayohusu course yako watakaopata marks kuanzia 50% ndio wataendelea na stage 2 ambayo ni 15 minutes presentation

Kwenye presentation wanaangalia ubora wa slides each slide should have less than 8 lines

Flow of materials

Voice or ability to convey what's your presenting

Authisum humble/ IQ ....many more

Utaulizwa maswali basing on your presentation na majibu yako pia yatasababisha maswali zaidi na zaidi

Unatakiwa kuwa na good listening ability, be fast, confidence be true don't forge anything on top there might be sort of corruption so be connected with whoever you may thought is likely candidate associate with any fellow candidate before the examination. Best of Lucky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom