Umenena vyema, lakin sio kweli kwamba Mzumbe hawazingatii kigezo hicho kwa kuchukua 3.5 ila ni kwa baadhi ya kozi kama ilivyo katika vyuo kama SUA. Sor for Mzumbe ni SHERIA TU kuna wakati walichukua hadi 3.5. Lakin generalization uliyoifanya sio sahihi