Tutor wa Javascript codes anahitajuka

mjanja

Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
20
Reaction score
2
Kuna hili somo nachukua online la computer, ni la introduction na lina html na java scripts, nakosa kampani ya kujadili nayo codes na zinanisumbua mno. Ntafurahi kama ntapata wataalamu watakao weza nisaidia hapa. Kwanza namna ya kutengezeza dynamic web page halafu kuifanya itengeneze multiples za namba utakayoingiza.
 
Thanks nimetembelea website naona inansaidia walau napata mwanga zaidi
 

Angalia hii software Wakanda (4d.com). Utajifunza mengi hapo, download and join the forum, hapo discussions zipo za kutosha.
 
kotinkarwak thanks nimefanyia kazi tayari ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…