Habari wana JF
Nimemeliza Chuo kikuu SUA mwaka jana katka fani ya habari na sayansi ya Maktaba (Information and Library Science) na kupata GPA ya 4.2. Nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja kama Mkutubi na kufundisha masomo ya Introduction to Office Practice na Records management katika moja ya chuo kilichopo Mbezi beach, Dar es Salaam.
Natafuta kazi ya kufundisha kama Full or Part-time kwa posho kidogo tu. Pia nina uwezo wa kufundisha Computer Application, Database management, Networking na Information Literacy.
wasiliana nami kwa
e-mail. ludgermkemwa@gmail.com
Simu: +255 715 545 485/
+255 683 671 941.