englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
nahisi nimewahi kusingiziwa mimba,
nimesingiziwa tarehe 19 mpaka 22 mbili inawezekana?Hahahahhahaha umesingiziwa au umeambiwa kweli? Lol
nimesingiziwa tarehe 19 mpaka 22 mbili inawezekana?
si according to hiyo picha hapo juu jamaniNajuaje mie lol
nimesingiziwa tarehe 19 mpaka 22 mbili inawezekana?
Sis ambao kiulaya hakipandi vzr mtusaidie
Kamusi za English-Swahili husaidia sana kwa akina Nyie