Tutegemee. Nolle prosequi kwa escrow

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,376
Hakuna jipya.Bunge limeazimia na kuforwad sakata kwa vyombo vya dola husika
Huu ni ULAJI mpya kwa waliozikosa za viroba.ni ulaji kwa MAHAKAMA..POLICE na hata vyombo vingine vilivyokabidhiwa usukani huu.

Hatujasahau juzi tu Mahakama ilivyoamuru bunge kusitisha mjadala..japo bunge lilikaidi lakini ngoma imemrudia yuleyule mchezaji..unategemea nini hapo?

PCCB alichunguzs kamaliza lakini naye haendi popote zaidi ya kumkabidhi Publiv Prosecutor ambaye kwa historia ya nchii hii atagong a file muhuri wa NOLLE PROSEQUI na hakuna wa kumhoji.

Ni kazi ya ziada pia kwa polisi kumkamata mtuhumiwa yeyote hapo..wengine tayari wana passport kadhaa na hawapo nchini na wengine ukimgusa tu kesho huna kazi au tunakufukia kinondoni
Hii tusahau imeisha.

Pole bungr ila ilikuwa ni short election Campaign kwenu.Walioperfor vizuri njia nyeupe..Waliojitoa fahamu mbele kiza!!
 
Hivi open space za ilala hazikuwa katika lile sakata la kisiasa la William Lukuvi? Au alipambana tu na zile ambazo hakukatiwa mshiko? Au alianzisha lile sakata ili waliokuwa wamenunua wakamkatie mshiko?

Ninapata shida sana kifikira kama watanzania tutakuwa hatuaminiani kwamba vyombo vilivyoundwa na serikali tuliyoichagua halafu hatuviamini.na kwamba tukishajenga fikra kama mtu kafanya dhambia hata kisheria akionekana hana kosa bado hatuamini.

Mimi naona tunajijengea misingi mibaya sawa yale ya mitaani mtu akishukiwa kaiba anapigwa na kuchomwa moto.
 
hiyo. nole yako hainA kiswahili?

NOLLE PROSEQUI
An entry made on the record, by which the prosecutor or plaintiff declares that he will proceed no further. A nolle prosequi may be entered either in a criminal or a civil case. In criminal cases, a nolle prosequi may be entered at any time before the finding of the grand jury, by the attorney general, and generally after a true bill has been found;

Mwendesha mashtaka HANA NIA YA KUENDELEA NA SHTAKA na hatohojiwa popote na yeyote kwanini!!
 
Ninapata shida sana kifikira kama watanzania tutakuwa hatuaminiani kwamba vyombo vilivyoundwa na serikali tuliyoichagua halafu hatuviamini.na kwamba tukishajenga fikra kama mtu kafanya dhambia hata kisheria akionekana hana kosa bado hatuamini.mimi naona tunajijengea misingi mibaya sawa yale ya mitaani mtu akishukiwa kaiba anapigwa na kuchomwa moto
Mkuu SaidSabke
Vyombo ni watu na watu ni sisi bin adam tuliojaa matamanio na hulka ya tamaa.

Vyombo hivyo vimeonyesha udhaifu katika suala hili before sasa unategemea hitimisho liwe tofauti na mtazamo wa awali? Tumaini hapo ni muono wa jicho la tatu yaani Observers ambao ni sisi wananchi kuweka ngubu na kukemea pia kuplay our fai roles.

Ukikiacha chombo na nahodha tu akilala kitakwenda mrama.
 
Last edited by a moderator:
Ninapata shida sana kifikira kama watanzania tutakuwa hatuaminiani kwamba vyombo vilivyoundwa na serikali tuliyoichagua halafu hatuviamini.na kwamba tukishajenga fikra kama mtu kafanya dhambia hata kisheria akionekana hana kosa bado hatuamini.mimi naona tunajijengea misingi mibaya sawa yale ya mitaani mtu akishukiwa kaiba anapigwa na kuchomwa moto

Tatizo sio taasisi zetu ila watu wanaoziongoza. Hawaaminiki kwa kuwa wamekuwa wakitanguliza maslahi binafsi kuliko taratibu za ajira zao. Na hii ni kwa vile hata appointing institutions zinaongozwa na hisia maslahi binafsi zaidi kiasi cha kushindwa kuwajibika pale inapobidi
 
Jiulize wewe mwenyewe lini uliwahi kutanguliza maslahi ya taifa lako kwanza......?
 
Mkuu afwe ni kweli hasa ukizingatia kuwa sakata limehusisha majudge lukuki hadi AG ambapo DPP anawajibika kwake

Nfio maana jamaa walichakachua KATIBA
 
Last edited by a moderator:
Jiulize wewe mwenyewe lini uliwahi kutanguliza maslahi ya taifa lako kwanza......?
luirhu watu wengi wanatanguliza utaifa kasoro wale wasio na maadili na malezi mema na wasiomcha mungu..je na wewe ni mmoja wao?
Ni wengi tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom